Swali: Inajuzu kwa watu wawili kukatana makucha?

Jibu: Ni sawa kufanya hivo. Hakuna kinachokataza.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3283
  • Imechapishwa: 03/05/2015