Kukataa kuoa kwa ajili ya kumtendea wema mama


Swali: Nakataa kuoa ili kumtendea wema zaidi mama yangu mpaka pale atapokufa. Unaninasihi nini?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Ikiwa unahitajia kuoa basi oa na mtendee wema mama yako. Hili linaweza kuwa linakusaidia kumtendea wema zaidi mama yako. Oa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 20/10/2018