Swali: Baadhi ya Misikiti huadhini kabla ya kuingia kwa wakati, kwa dakika nane. Na wakafuturu baadhi ya watu kutokana na  adhaana hii. Je, walipe swawm ya siku hio?

Jibu: Ikiwa jua lilikuwa halijazama, itawalazimu kulipa. Na ikiwa lilikuwa limeshazama, swawm yao ni sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020