Kukata baadhi ya nywele zenye maudhi kwenye nyusi


Swali: Inajuzu kwa mtu kuondosha au kupunguza baadhi ya nyusi zikiwa ndefu kiasi kwamba zinafunika macho?

Jibu: Ikiwa zinamuudhi na zinafika mpaka kwenye macho, basi aondoshe maudhi pasi na shaka. Ama zikiwa [zina urefu wa] kawaida, asiziguse. Kwa kuwa itakuwa ni katika kuchonga nyusi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 10/02/2018