Kukaa na shemeji asiyefunika uso wake


Swali: Inajuzu kubaki pamoja na mke wa kaka yangu mbele ya kaka yangu ambaye havai Niqaab wala hafuniki uso? Anachofanya ni kuweka Hijaab ya kawaida.

Jibu: Hapana. Usikae naye mpaka mwanamke huyu avae Hijaab inayokubalika Kishari´ah na inayositiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 30/01/2021