Kukaa na mla mirungi


Swali: Ni ipi hukumu ya kukaa na mwenye kula mirungi?

Jibu: Mnasihi na mbainishie uharibifu wa mti huu na athari mbaya za mtii huu. Asiposikia jiepushe naye na wala usikae naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
  • Imechapishwa: 08/05/2019