Kukaa I´tikaaf katika msikiti usioswaliwa ijumaa

Swali: Je, inajuzu kufanya I´tikaaf kwenye Msikiti ambapo hakuswaliwi Swalah ya Ijumaa?

Jibu: Ndio, hakuna neno. Makusudio ni Swalah ya Jamaa´ah. Ama Ijumaa sio lazima. Kutoka kwa ajili ya Ijumaa hakuathiri kwa kuwa haikariri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014