Kujizoweza kuswali na viatu ikiwa una kitu katika nafsi

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na viatu? Je ni wajibu au imependekezwa?

Jibu: Kuswali na viatu inajuzu na imependekezwa wakati fulani. Nafsi yako ikiwa na kitu [katika mashaka na wasiwasi] ni wajibu kwako kuswali na viatu mpaka nafsi yako ikinaike na hukumu hii.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=167
  • Imechapishwa: 20/09/2020