Kujitolea damu mchana wa Ramadhaan


Swali: Kujitolea damu mchana wa Ramadhaan kunafunguza?

Jibu: Ndio, ikiwa ni damu nyingi aliyojitolea na akachotwa nayo. Hilo linamfunguza. Ni kama mfano wa kuumikwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaam al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14891
  • Imechapishwa: 06/06/2017