Kujitibu majeraha ya eneo la kisigino kwenye Ihraam

Swali: Kutokana na mwendo mrefu katika Ihraam jambo hilo linaweza kumpelekea Muhrim kupata madonda kwenye eneo la kisigino. Je, inafaa kwake kutumia kremu au mafuta?

Jibu: Hakuna neno midhali hayana harufu. Midhali hayana harufu hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 15/02/2020