Swali: Kutumia manukato yaliyo kwenye chupa yanamfunguza mfungaji akiyapaka mikononi mwake, usoni mwake, mwilini mwake na nguoni mwake?

Jibu: Kutumia manukato kwa njia zilizotajwa hakumfunguzi mfungaji.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/255)
  • Imechapishwa: 10/06/2017