Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia wanja na mwanamke kujipaka mafuta mchana wa Ramadhaan?

Jibu: Mwenye kujipaka wanja mchana wa Ramadhaan swawm yake haiharibiki. Kadhalika yule mwenye kujipaka mafuta kichwani mchana wa Ramadhaan ilihali amefunga swawm yake haiharibiki.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah al-Ghudayyaan

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daa’imah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Ladjnah ad-Daa’imah (4220 )
  • Imechapishwa: 25/04/2020