Kujifuta kwa mawe


 Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye anajifuta kwa mawe. Akajibu:

“Hakuna neno kama yanasafisha pale palipopatwa.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/110)
  • Imechapishwa: 05/02/2021