Kujifuta ingawa maji yapo


Nilimuuliza baba yangu juu ya mtu ambaye amefanya haja kubwa kisha akajipangusa kwa mawe matatu au akajisafisha kwa maji na akaswali. Je, swalah yake ni sahihi akiwa yuko na maji? Akajibu:

“Kama mawe yanasafisha swalah yake inasihi. Vivyo hivyo akijisafisha kwa maji. Yote mawili yanasihi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/111)
  • Imechapishwa: 05/02/2021