Kujifananisha na manaswara katika talaka


Swali: Siku hizi tunasikia baina ya safu za wanafunzi ya kwamba wanarudisha na kukataa hukumu ya Talaka kutokana na maslahi yanayopatikana; kama kutofautisha na kuwapoteza watoto…

Jibu: Hili ni kwa manaswara. Kwa kuwa manaswara wao ndio ambao hawaruhusu Talaka na walamlazimisha mume kubaki na mke wake maisha yake yote na asimtaliki. Mwenye kusema kuwa Talaka siku hizi haipiti kwa kuwa inafarakanisha, haya ndio maneno yale yale ya manaswara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/9998
  • Imechapishwa: 03/03/2018