Kujifakharisha kwa kabila kutangazia neema?

Swali: Kuna ambao wanasema kuwa inafaa kujifakhari kwa kabila kwa sababu ni katika kuhadithia neema za Allaah?

Jibu: Hii ni neema ya Allaah? Kujifakhari kwa kabila ni katika neema za Allaah? Haya ni katika mambo ya kipindi kabla ya kuja Uislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17487
  • Imechapishwa: 25/11/2017