Swali: Je, anayechelewa kuhudhuria Msikitini na kusikiliza Khutbah anapata dhambi?

Jibu: Amepitwa na ujira. Hii ni khasara kubwa. Kupitwa na ujira ni khasara kubwa. Lau atakusudia kuchelewa, basi atakuwa ni mwenye kwenda kinyume na Kauli ya Allaah:

فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ

“Kimbilieni kwenye ukumbusho wa Allaah.” (62:09)

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014