Swali: Ni ipi hukumu ya kuitwa kwa jina “Majiyd”?

Jibu: Majiyd ni sawa. Lakini hata hivyo haijuzu kuitwa kwa jina “al-Majiyd”. al-Majiyd huitwa Allaah pekee. Bora zaidi akiitwa ´Abdul-Majiyd.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020