Swali: Je, inajuzu kuitwa kwa jina la ´Abdul-Jaliyl na ´Abdul-Kalaam?

Jibu: ´Abdul-Jaliyl hakuna neno. Al-Jaliyl ni katika Majina ya Allaah. Ama kuhusu ´Abdul-Kalaam sio katika Majina ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-6-2.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014