584- Nilimsikia Ahmad akisema:
“Zakaah inaweza kutolewa kabla ya kufika wakati wake ambapo ni lazima kuitoa, lakini haitakiwi kucheleweshwa baada ya kwamba imelazimika kuitoa.”
- Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 121
- Imechapishwa: 01/03/2021