Kuitikia salamu zilizogeuzwa kwa matamshi ya kimagharibi


Swali: Kuna baadhi ya watu wameigeuza salamu kwa matamshi ya kimagharibi kama wanavyosalimiana makafiri. Tukikutana na salamu kama hizi tuwarudishie?

Jibu: Hapana, usiwarudishie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014