Kuitikia salamu kwa kuashiria katika swalah ya faradhi


Swali: Inajuzu kuashiria katika swalah ya faradhi au hapana?

Jibu: Inajuzu katika swalah ya faradhi na ya sunnah. Akiashiria kwa mkono wake au kwa kichwa chake hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (02) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/429/429.mp3
  • Imechapishwa: 04/03/2018