Kuitikia salamu “´alaykumus-Salaam” pasina kuweka “wa”


Swali: Je, inajuzu kwa muislamu kumuitikia ndugu yake salamu kwa kusema:

 عليكم السلام

“Amani ya Allaah iwe juu yenu.”

pasi na kuweka (و)?

Jibu: Mmesikia hili ya kwamba lililo bora na kamilifu zaidi ni kuitikia “وعليكم السلام” kwa kuweka (و). Akisema وعليكم السلام inatosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014