Swali: Je, inajuzu kumpwekesha mtu katika Salaam kwa kusema “wa ´alaykas-Salaam” badala ya kusema “wa ´alaykumus-Salaam” au ni lazima kusema “wa ´alaykumus-Salaam”?
Jibu: Hii ndio bora. Bora zaidi ni kusema “wa ´alaykumus-Salaam”. Ukisema “wa ´alaykas-Salaam” inatosheleza.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014