Kuitikia Salaam “´alaykumus-Salaam” Pasina Kuweka “Wa”


Swali: Je, inajuzu kwa Muislamu kumuitikia ndugu yake Salaam kwa kusema “´alaykumus-Salaam” pasina kuweka “wa”?

Jibu: Mmesikia hili ya kwamba lililo bora na kamilifu zaidi ni kuitikia “wa ´alaykumus-Salaam” kwa kuweka “wa”. Akisema “´alaykumus-Salaam” inatosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014