Swali: Je, inajuzu kuitikia mwaliko wa mtu ambaye anauza mambo ya haramu, kama vile pombe, na vitu vilivyoruhusiwa vilevile?

Jibu: Anatakiwa kususwa. Apewe nasaha. Akiitikia ni sawa. Vinginevyo asuswe na wala watu wasiitikie mwaliko wake mpaka pale atapotubia kwa Allaah na wala asiuze vitu vya haramu kama vile sigara, pombe na bidhaa nyenginezo za haramu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=67941&audiotype=lectures&browseby=speaker
  • Imechapishwa: 29/07/2017