Swali: Muislamu arudilie adhaana kwenye redio?

Jibu: Ikiwa ni adhaana ya aliye hai, aiitikie, na ikiwa ni ya kurekodiwa asiitikie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017