Swali: Ni ipi hukumu ya kuketi na kula pamoja na mtu anayekunywa pombe kwenye nyumba moja?

Jibu: Haijuzu kukaa naye katika nyumba moja ilihali ni mnywaji pombe. Ina maana utakuwa ni mwenye kumsapoti katika jambo hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 06/01/2021