Kuingiza chaneli zenye faida nyumbani


Swali: Je, unashauri mtu kuingiza chaneli za kidini katika wakati kama huu?

Jibu: Ni vizuri ikiwa ni chaneli safi na zenye faida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2017