Kuhukumiana kinyume na Shari´ah katika nchi za kikafiri

Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anahukumiana kwa isiyokuwa Shari´ah katika nchi inayohukumu kwa Uislamu na Shari´ah?

Jibu: Haijuzu kuhukumu isipokuwa kwa Shari´ah katika nchi yoyote ile. Haijuzu kwa muislamu kuhukumiana isipokuwa kwa Shari´ah ya Allaah (Subhanahu wa Ta´ala). Asitafute kuhukumu kwa kitu kingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (09) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/09.mp3
  • Imechapishwa: 29/03/2019