Kuhiji hali ya kuwa na shuka ya juu peke yake

Swali: Je, inafaa kwa anayefanya Hajj au ´Umrah kutumia shuka yake ya chini bila ya shuka yake ya juu? Je, swalah yake ni sahihi akiswali katika hali hii?

Jibu: Hakuna kizuizi. Lakini anatakiwa kuiweka shuka yake ya juu kwenye mabega yake kwa ajili ya kujipamba na kujisitiri. Hivyo anapendeza zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 16/02/2020