Swali: Inafaa kuhifadhi picha kwenye simu?

Jibu: Haifai isipokuwa kwa lengo sahihi, kama kwa lengo la kulingania katika dini ya Allaah. Hapa hakuna neno. Ama kuifadhi kwa ajili ya kupendezwa nayo au kuipenda na mfano wa hayo haifai.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (93) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighstah%20-20-1-1440_0.mp3
  • Imechapishwa: 13/04/2019