Kuhifadhi picha kwenye simu na kompyuta

Swali: Je, ni haramu kuhifadhi picha kwenye simu na kwenye kompyuta?

Jibu: Kuna haja gani ya kuhifadhi picha? Haijuzu kuhifadhi picha isipokuwa wakati wa dharurah. Ikiwa hakuna dharurah basi hakuna neno kuhifadhi, kama vile wa picha kwenye kitambulisho, pasipoti au vitu vingine unavohitajia. Hizi inafaa kuhifadhi. Ama kuhifadhi picha pasi na haja ni kitu kilichoharamishwa. Ni kitu kisichojuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 22/04/2021