Swali: Kuna mlinganizi anayewazungumzia kwa ubaya watawala na kusema kuwa ni wajibu kufanya uasi kwa watawala. Je, wanazingatiwa hawa kuwa wamechukua pote la Khawaarij na mfumo wa Qa´diyyah?

Jibu: Ndio, hakuna shaka yoyote juu ya hilo. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Kuhamasisha uasi kwenyewe ni uasi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
  • Imechapishwa: 05/09/2020