Kugusa najisi kunavunja wudhuu´?


Swali: Mama kumuondosha mtoto najisi kunavunja wudhuu´ wake?

Jibu: Akigusa tupu yake pasi na kizuizi, wudhuu´ wake unatenguka kwa sababu ya kugusa tupu. Ama kule kugusa tu najisi pasi na kugusa tupu, hili halivunji wudhuu´.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-03-10.MP3
  • Imechapishwa: 16/11/2014