Kugawa mirathi ni jambo la khiyari kwa warithi

Swali: Ni ipi hukumu ya mirathi ambayo haikugawanywa na imeshafanya miaka mingi?

Jibu: Hiki ni kitu kinachorejea kwa warithi. Ikiwa wanataka kugawa mirathi wataenda kwa Qaadhiy ambapo ataangalia suala lao. Lakini hata hivyo huenda kuna kizuizi katika kugawa. Qaadhiy ataangalia suala hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020