158- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu mwenye kufuta juu ya kilemba kisha akakivua. Akajibu:

“Arudi kutawadha”

159-  Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu mwenye kufuta juu ya kilemba. Akajbu:

“Hakuna neno.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/123)
  • Imechapishwa: 08/02/2020