Kufunga siku ya ´Arafah ikianguka siku ya ijumaa?


Swali: Imewekwa katika Shari´ah kufunga siku ya ´Arafah peke yake ikiangukia siku ya ijumaa?

Jibu: Ndio, kwa sababu ananuia kufunga siku ya ijumaa na hakunuia kufunga ijumaa. Ananuia kufunga siku ya ´Arafah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017