Swali: Mtu akioa wakati wa Ihraam. Je, ndoa hii inazingatiwa ni ya uzinzi?

Jibu: Hapana, ni ya utata. Kwa ajili hiyo ndoa inatakiwa kufungwa upya. Hakuna kingine kinachomlazimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/02/2020