Kufunga ndoa na mwenye hedhi

Swali: Ni ipi hukumu ya kufunga ndoa na mwanamke mwenye hedhi?

Jibu: Hakuna neno. Lakini asifanye naye mapenzi. Akifanya naye mambo ya kimapenzi basi asimjamii mpaka asafike.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (15)
  • Imechapishwa: 19/06/2020