Swali: Inajuzu kwa muislamu mwanaume au mwanamke kuoa au mwanamke wa Kiislamu kuolewa na mchawi?

Jibu: Hapana, mwanamke asiolewe na mchawi na wala mwanaume asioe mchawi. Wachawi wanatakiwa kukatwa na kuwatenga mbali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017