1Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. 2Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.

  • Marejeo: Mathayo 04:01
  • Imechapishwa: 31/01/2020