Kufanyakazi katika duka linalouza mavazi ya wanawake yenye mapambo


Swali: Dula linauza mavazi ambayo ni maalum kwa ajili ya wale wanawake wenye kuonyesha mapambo na mimi ndiye mwakilishaji wa uuzaji wa mmiliki wa duka hili. Je, nina dhambi kwa kuuza mambo haya?

Jibu: Ndio. Wewe unashiriki katika madhambi. Kwa sababu unasaidia katika madhambi na uadui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17473
  • Imechapishwa: 25/11/2017