Swali: Mwaka huu nilihiji na katikati ya Twawaaf-ul-Ifaadhwah nikatokwa na damu. Nikamweleza daktari jambo hilo ambapo akanieleza kuwa atanipa vidonge vitavyozuia damu kwa muda wa masaa sita. Mambo yakawa kama alivyosema damu ikasita kwa muda wa masaa sita ambapo niafanya Twawaaf na Say´ na baada ya masaa sita damu ikarudi. Je, niliyoyafanya ni sahihi?
Jibu: Ikiwa kusita kwa damu ililkuwa twahara kamilifu na mwanamke huyo anajua kutwaharika basi hakuna neno. Twawaaf yake itakuwa ni sahihi. Ama kama ilikuwa sio twahara sahihi, basi ametufu kabla hajatwaharika. Twawaaf ya mwanamke kabla ya kutwaharika kwake ni batili na si sahihi.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (65) http://binothaimeen.net/content/1467
- Imechapishwa: 14/01/2020
Swali: Mwaka huu nilihiji na katikati ya Twawaaf-ul-Ifaadhwah nikatokwa na damu. Nikamweleza daktari jambo hilo ambapo akanieleza kuwa atanipa vidonge vitavyozuia damu kwa muda wa masaa sita. Mambo yakawa kama alivyosema damu ikasita kwa muda wa masaa sita ambapo niafanya Twawaaf na Say´ na baada ya masaa sita damu ikarudi. Je, niliyoyafanya ni sahihi?
Jibu: Ikiwa kusita kwa damu ililkuwa twahara kamilifu na mwanamke huyo anajua kutwaharika basi hakuna neno. Twawaaf yake itakuwa ni sahihi. Ama kama ilikuwa sio twahara sahihi, basi ametufu kabla hajatwaharika. Twawaaf ya mwanamke kabla ya kutwaharika kwake ni batili na si sahihi.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (65) http://binothaimeen.net/content/1467
Imechapishwa: 14/01/2020
https://firqatunnajia.com/kufanya-twawaaf-baada-ya-hedhi-kusita-kwa-masaa-kadhaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)