Kufanya na kuacha kwa ajili ya watu yote mawili ni shirki

Swali: Baadhi ya watu wanaacha matendo mema kwa kuchelea kujionyesha. Kwa mfano wanaweza kuacha kuswali Sunnah ya Raatibah msikitini kwa kuchelea kujionyesha…

Jibu: Wasiwasi huu unatokana na shaytwaan. Kuacha kufanya matendo kwa ajili ya watu ni shirki. Na kufanya matendo kwa ajili ya watu ni shirki. Kusalimishwa ni wewe usalimishwe na Allaah kutokamana na yote mawili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
  • Imechapishwa: 05/09/2020