Kufanya matabano kwa mshtuko wa moto


Swali: Muulizaji huyu kutoka Ubelgiji anasema ya kwamba kuna mfanya matabano katika nchi yao ambaye anatumia mshtuko wa umeme wakafanya wa kufanya matabano. Mshtuko wa moto huyu mara nyingi unasababisha maradhi kwenye mwili wa mgonjwa. Unatoa nasaha zepi na huyu aendewe?

Jibu: Hapana. Asiendewe. Huyu anamdhuru yule mgonjwa kwa sababu ya mshtuko wa moto.  Mshtuko wa moto hauponyi. Bali unaadhibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017