Kufanya kazi kwenye duka linalouza bidhaa za haramu

Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi katika duka linalouza bidhaa za haramu kama vile nyama ya nguruwe?

Jibu: Haijuzu kufanya kazi katika maduka yanayouza bidhaa za haramu, kwa sababu kufanya hivo ni kusaidiana katika madhambi na uadui. Kwa hivyo haijuzu kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 16/04/2021