Kufanya kazi katika mahakama isiyohukumu kwa Shari´ah ya Kiislamu

Swali: Kuna mwanamke anafanya kazi katika mahakama inayohukumu matendo ya jinai kwa sheria za kibinaadamu. Inajuzu kwake kufanya kazi huko?

Jibu: Hapana. Sheria za kibinaadamu hazijuzu. Lililo la wajibu ni kuhukumu kwa mujibu wa Shari´ah, na sio kwa kanuni. Kazi kama hio ni kushirikiana katika dhambi na uadui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017