Swali: Mimi nafanya kazi katika kampuni ilio na ya halali na ya haramu. Wanauza pia kadi za kamari. Ni ipi hukumu ya kazi yangu na mshahara wangu katika kampuni hii?
Jibu: Jiweke nayo mbali. Tafuta kazi nyingine.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (71) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah26-07-1438h%20-%20Copy.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2017