Kufanya kazi katika benki inayotaamiliana na ribaa


Swali: Je, inajuzu kufanya kazi katika shirika linalotaamiliana na benki za ribaa?

Jibu: Ikiwa unaandika au unashiriki katika hiyo ribaa, haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg--14340428.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020